Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Hii kitu majuzi ilikuwa kwa jirani waswahili fulani, wamemtoa mtoto jando, balaa tupu ulipoanza huu wimbo jamaa wakanitonya noma huu wimbo tusepe πππDaah hizo nyimbo nilikua namsikiliza yule mwamba Omary Omary alikua anaimba sana yule mwamba aisee..
Hizi mambo hatari sana!Hata rafiki yako anakugeuka yani
Hebu weka tuone ,tusiokuwa daslamu!Hizi mambo hatari sana!
Na wewe tajiri unaendaga kwenye michirikuπππ
Hapana naburudika tu kusoma comment za wadau.Na wewe tajiri unaendaga kwenye michirikuπππ
Siendagi mimiHapana naburudika tu kusoma comment za wadau.
Nina imani nikienda kwenye hivyo viwanja nitasumbuliwa na mafua mwezi mzima.
Vipi wewe hujawahi Kwenda huko
we mchiriku unahufahamu au umekuja na na kinyesi chako ukaona ni mistari.---Nimesha tenda wema nimeumaliza, Nilicho bakiza sasa ni ubaya....... ( Saa nane usiku hiyo!)
Bange, pombe zinawekwa kando, kila muhuni anamtupia jicho mnyonge wake, balaa tu.
Ahaa sawa ni vizuri kukwepa muda wa ubaya wa vijana wa daaslamSiendagi mimi
Hakika mkuu, simulizi mpya lini mashabiki zako tunataka burudaniAhaa sawa ni vizuri kukwepa muda wa ubaya wa vijana wa daaslam
πππ naandika My Family kwanza imebakiza sehemu mbili tu.Hakika mkuu, simulizi mpya lini mashabiki zako tunataka burudani
Napenda sana hizi nyimbo zetu wacha waimbe bhana..Hii kitu majuzi ilikuwa kwa jirani waswahili fulani, wamemtoa mtoto jando, balaa tupu ulipoanza huu wimbo jamaa wakanitonya noma huu wimbo tusepe πππ
Sawa mimi nasubiri hizo za kweliπππ naandika My Family kwanza imebakiza sehemu mbili tu.
Ikiisha hiyo tutaendelea na visa vya kweli kama kawaida.
Utaki habari za taadhari?Ohhhh.....
Naona nimekuja jukwaa lisilo nihusu
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Poa.Sawa mimi nasubiri hizo za kweli