Ukienda kwenye mchiriku ukiusikia wimbo huu umeanza kuimbwa kimbia!

---Nimesha tenda wema nimeumaliza, Kilicho baki sasa ni ubaya....... ( Saa nane usiku hiyo!)
Bange, pombe zinawekwa kando, kila muhuni anamtupia jicho mnyonge wake, balaa tu.
Uwekekwanza tuusikie
 
Tafuta mnyonge wako na wewe hadi serikali ihamie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…