Ukienda msibani halafu ukae nyuma ndio utajua nini kilimuua marehemu kule mbele huwa ni sifa tu kwa Marehemu

Ukienda msibani halafu ukae nyuma ndio utajua nini kilimuua marehemu kule mbele huwa ni sifa tu kwa Marehemu

YANI MTU ANAKUFA NA BADO ANASEMWA🥺

KWELI USIOGOPE KUSEMWA MAISHANI,SONGA MBELE🙏
 
unafika vizuri, ukitaka kujua mkeo mnyenyekevu ni msibani wanaanzaga kugawa kwa wanaume
Kwa hio nyuma huko unafika mpunga maana ukiwa nyuma nyuma unaachwa kwenye kila jambo kaa mbele mpungu sahana wanaanza kugawa mbele sasa ukiisha utarudi na njaa yako shauriyako
 
sasa mpishi anakaaje nyuma mkuu, ukienda msibani uwe na uhakika kuwa utakula, tofauti na harusini hata ukichanga uwezekano wa kukosa upo
Yaan sio kila msiba uhakika wa kula upo sasa wewe endelea kukaa nyuma sisi wa mbele tukumalizie msosi utaelewa
 
Back
Top Bottom