Ukienda msibani halafu ukae nyuma ndio utajua nini kilimuua marehemu kule mbele huwa ni sifa tu kwa Marehemu

Ukienda msibani halafu ukae nyuma ndio utajua nini kilimuua marehemu kule mbele huwa ni sifa tu kwa Marehemu

Utaona hata ushabiki wa mpira ,wengine wanapiga stori wanacheka bila ya wasiwasi.
 
Kwenye misiba mi huwa situlii angle mmoja, huwa natembeatembea pande zote kupata habari nini kilimsibu marehemu. Mbele utapata sifa tu, nyuma utapata za upande wa pili wa shilingi ambazo huwa hazisemwi hadharani msibani
 
Nani alikaa nyuma kwenye msiba wa Magu, tunaweza pata data kidogo.
 
Back
Top Bottom