Ukienda na mtu bar usikubali aondoke na mtu usiyemjua

Ukienda na mtu bar usikubali aondoke na mtu usiyemjua

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
6,296
Reaction score
6,692
Habari ya muda huu wakuu.

Guys kama umetoka na mtu au mmetoka kama group, usikubali au msikubali mmoja wenu aondoke na mtu msiyemfahamu in any means.

Binadamu siku hizi hawaaminiki, kuna risk sana.
 
Jifunze kujieleza. Andika kitu kamili kinachoeleweka 'straight to the point'
 
Na muache pombe jamani.

Mnajikuta zimashuka mnaanza kuchukua yeyote tu mkampige ukuni.

Tunafeli sana wake kwa waume.
 
Back
Top Bottom