mkuu kumbe unakijua?Mimi nilichukua mafao yangu enzi za mwendazake. Aisee Bora hata Sasa. Kipindi Cha mwendazake ndio ilikua balaa.
Hapo ubungo kile kidada Malaya kinachotembea na wakubwa, kile kinacho kaanga sumu chenye damu chafu bado kipo?
Mimi nilichukuwa 2018 kabla ya kanuni zao kuanza kutumika japo nilifungua faili 2017 lakini tulifanikiwa kupata hela yote bila usumbufu. Ukienda unashauriwa vizuri kabisa, unapewa namba ya simu unaambiwa kabla hujaondoka nyumbani kwako piga simu kwanza. Ingawa kilikuwa kipindi kigumu maana hela haikuwepo mtaani lakini majibu yalikuwa mazuri kwa wale niliowasiliana nao. Ilikuwa Ubungo Plazamkuu kumbe unakijua?
Hatari sana .
tatizo zaidi pale ni ukanda watu wameajiliwa kutoka ukanda mmoja.
Kama hilo halitoshi, Magu huyo huyo alimteua "mtu" wa Mkapa William Erio kama Mkurugenzi wa NSSF.Ujinga ni kipaji.
Ulitakiwa upate pesa yako yote ila leo utapokea only 33.3% ya pesa zako zote na bado unamkumbuka kwa mazuri aliyekusababishia hali hio.
Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke.
Hakuna anaejali.
Unasikilizwa kwa mbinde.
Meneja hapatikani.
Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje!
Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%.
Hali ni mbaya sana watumishi hawaogopi lolote now.
Sisi wanyonge ndio tunaoumia na hakuna kitu tutafanya tutaishia kulia bila kuwa na wakutusikliza.
Tutakukumbuka JPM ulipambana sana wanyonge tusikilizwe kwenye ofisi za umma.
Haya malipo ya 33.3% yamefanyiwe marekebishoUkienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke.
Hakuna anaejali.
Unasikilizwa kwa mbinde.
Meneja hapatikani.
Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje!
Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%.
Hali ni mbaya sana watumishi hawaogopi lolote now.
Sisi wanyonge ndio tunaoumia na hakuna kitu tutafanya tutaishia kulia bila kuwa na wakutusikliza.
Tutakukumbuka JPM ulipambana sana wanyonge tusikilizwe kwenye ofisi za umma.
Unajua unachoandika kinakuwakilisha? Unafikiri ni Mungu yupi unayemuabudu ambaye atafurahia wewe kulinganisha mbuzi na binadamu aliyemuumba na kumheshimisha kwa kufanana nae! Na hata kumfia msalabani?Wafuasi wa Jiwe watakuwa wagonjwa, sio bure!!
Hapa JF kuna nyuzi lukuki za kuilalamikia NSSF over the past 5 years, bado mtu anakuja na kusema angekuwepo Jiwe!!
Yaani hata sakata la Yanga na Simba la majuzi bado utawasikia "...angekuwepo Magufuli hapo hapo angewapigia simu TFF"
Ndugai kanajisi katiba, sheria na kanuni za bunge wakati JPM yupo hai halafu leo anatokea Mwendawazimu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angepiga simu kuwakaripia TFF"
Jiwe mwenyewe kavunja sheria kibao tu na kuinajisi katiba mara kadhaa, halafu anatokea mwehu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angewakaripia TFF!"
Yaani wanaona kanuni za TFF ni bora kuliko kanuni kanuni na sheria za bunge pamoja na katiba!
Are you STUPID?!
Mkuu Erythrocyte, nakubaliana na wewe ni kwanini zamani Watumwa walikuwa wanazikwa hai na mfalme wao!!
I hate to say this lakini ukweli mchungu ni kwamba, kupoteza mbuzi mmoja pale Vingunguti au hata kuku mmoja pale Kisutu, ni hasara kubwa kwa taifa na ustawi wa dunia kwa ujumla kuliko kupoteza Misukule 100 ya JPM!
Wewe ndiye mtu hisiyejua chochote. Kwa upande wa Watumishi huyo unayemlilia na kutaka watu wamuone wa pekee kwa mazuri ndiye aliyetuletea haya mabalaa yote.Basi hakuna unachojua.
Softie like suzie!! Naona unapiga mkwara jabali!! Thats real ChigeNaona wewe JPM anakutesa sana kila napomuongelea unanifata na kunitukana sijui alikukosea maana ni kama anakutesa sana. Hii ni post ya ngapi sijui unaniqoti kwa matusi kisa nimemuongelea vizuri JPM. Sasa kama wafanyakazi wanasema mwenye nchi hayupo kaseme popote unapotaka unataka niamini nini? Acha kuita watu stupid brother na maneno yako mengi yasiyo na maana usijikute wewe unajua kuliko sisi wengine kama unaumia tukimwongelea vizuri JPM basi jitoe JF au pita kushoto tusipangiane na wala usinifatefate sabab moto wangu utouweza ntakunyoosha yani wewe kila kona unanifata kisa nimemtaja JPM.
Hebu peleka ujinga wako mbele! Kumlinganisha binadamu na mbuzi, na wewe uliyekuwa unatetea utawala unaowafanya mauaji kwa binadamu, baya kwa Mungu ni lipi?Unajua unachoandika kinakuwakilisha? Unafikiri ni Mungu yupi unayemuabudu ambaye atafurahia wewe kulinganisha mbuzi na binadamu aliyemuumba na kumheshimisha kwa kufanana nae! Na hata kumfia msalabani?
Chuki yako kwa JPM imekomaa na sasa inazaa dhambi na bila toba unajua matokeo ya dhambi. Wewe unaweza kufurahia mtoto wako kulinganishwa na mbuzi?
Huna haja ya kujieleza, ni either uombe radhi, ubakie kwenye mijadala kwa hoja bila chuki za kiwango cha mauti au simamia kauli yako. Usihangaike kuandika gazeti kama kawaida yako, kama una dini omba radhi mjadala uendelee.
Moderator zamani mlikuwa na utaratibu mzuri wa kuzuia matusi kwenye mijadala. Tunaomba tubakie kwenye hoja na hawa wenye hasira wawe wanapumzishwa ili mtu anapoandika humu ajitafakari kwa heshima ya JF.
Sasa kwanini atekeleze sheria ya kuumiza misukule yakeSheria ya fao la 33% ilitungwa wakati wa Kikwete utekelezaji ndio ukaangukia kwa Magufuli.
Very stupid... nikufuate wewe kwa lipi ulilonalo?! Hii ni public forum, ukiandika LAZIMA watu wataku-quote, na kama hutaki waku-quote, kaandike pumba zako kwenye majukwaa ya misukule wenzako, na huko mtabaki mkisifiana misukule kwa misukule!Naona wewe JPM anakutesa sana kila napomuongelea unanifata na kunitukana sijui alikukosea maana ni kama anakutesa sana. Hii ni post ya ngapi sijui unaniqoti kwa matusi kisa nimemuongelea vizuri JPM. Sasa kama wafanyakazi wanasema mwenye nchi hayupo kaseme popote unapotaka unataka niamini nini? Acha kuita watu stupid brother na maneno yako mengi yasiyo na maana usijikute wewe unajua kuliko sisi wengine kama unaumia tukimwongelea vizuri JPM basi jitoe JF au pita kushoto tusipangiane na wala usinifatefate sabab moto wangu utouweza ntakunyoosha yani wewe kila kona unanifata kisa nimemtaja JPM.
Hayo masheria yanayokufanya utaabike si alisaini hayati JPM?Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke.
Hakuna anaejali.
Unasikilizwa kwa mbinde.
Meneja hapatikani.
Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje!
Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%.
Hali ni mbaya sana watumishi hawaogopi lolote now.
Sisi wanyonge ndio tunaoumia na hakuna kitu tutafanya tutaishia kulia bila kuwa na wakutusikliza.
Tutakukumbuka JPM ulipambana sana wanyonge tusikilizwe kwenye ofisi za umma.
Yaani mtoa mada hajielewi kabisa, hizo 33% si alipitisha jiwe, baada amlalamikie aliyesababisha kupunjwa pesa zake halali, anabaki kusifiaUjinga ni kipaji.
Ulitakiwa upate pesa yako yote ila leo utapokea only 33.3% ya pesa zako zote na bado unamkumbuka kwa mazuri aliyekusababishia hali hio.
aiseeeeWafuasi wa Jiwe watakuwa wagonjwa, sio bure!!
Hapa JF kuna nyuzi lukuki za kuilalamikia NSSF over the past 5 years, bado mtu anakuja na kusema angekuwepo Jiwe!!
Yaani hata sakata la Yanga na Simba la majuzi bado utawasikia "...angekuwepo Magufuli hapo hapo angewapigia simu TFF"
Ndugai kanajisi katiba, sheria na kanuni za bunge wakati JPM yupo hai halafu leo anatokea Mwendawazimu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angepiga simu kuwakaripia TFF"
Jiwe mwenyewe kavunja sheria kibao tu na kuinajisi katiba mara kadhaa, halafu anatokea mwehu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angewakaripia TFF!"
Yaani wanaona kanuni za TFF ni bora kuliko kanuni kanuni na sheria za bunge pamoja na katiba!
Are you STUPID?!
Mkuu Erythrocyte, nakubaliana na wewe ni kwanini zamani Watumwa walikuwa wanazikwa hai na mfalme wao!!
I hate to say this lakini ukweli mchungu ni kwamba, kupoteza mbuzi mmoja pale Vingunguti au hata kuku mmoja pale Kisutu, ni hasara kubwa kwa taifa na ustawi wa dunia kwa ujumla kuliko kupoteza Misukule 100 ya JPM!
NAKAZIAUjinga ni kipaji.
Ulitakiwa upate pesa yako yote ila leo utapokea only 33.3% ya pesa zako zote na bado unamkumbuka kwa mazuri aliyekusababishia hali hio.
Na awalaani kwelikweli. Wamewachekea waajiri wasiopeleka michango miaka na miaka na sasa wanajifanya kuwapeleka mahakamani. Kesi zinapigwa kalenda ndeeeefu watu wanakufa bila mafao yao. hongo mlizopokea kuwafanya msiwafuatilie ni laana tosha mtakufa vibaya mbweha nyie.Nssf wapumbavu sana. Wamesababisha hasara maishani mwangu. Sitasahau nilivyoshindwa kumudu gharama za matibabu wakati wamekalia stahiki zangu. Mungu awalani kuanzia Bodi yao, Hadi karani wao ofisi za Nssf Kigoma-Ujiji.
Mkuu,Wafuasi wa Jiwe watakuwa wagonjwa, sio bure!!
Hapa JF kuna nyuzi lukuki za kuilalamikia NSSF over the past 5 years, bado mtu anakuja na kusema angekuwepo Jiwe!!
Yaani hata sakata la Yanga na Simba la majuzi bado utawasikia "...angekuwepo Magufuli hapo hapo angewapigia simu TFF"
Ndugai kanajisi katiba, sheria na kanuni za bunge wakati JPM yupo hai halafu leo anatokea Mwendawazimu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angepiga simu kuwakaripia TFF"
Jiwe mwenyewe kavunja sheria kibao tu na kuinajisi katiba mara kadhaa, halafu anatokea mwehu mmoja anasema "...angekuwepo Magufuli angewakaripia TFF!"
Yaani wanaona kanuni za TFF ni bora kuliko kanuni kanuni na sheria za bunge pamoja na katiba!
Are you STUPID?!
Mkuu Erythrocyte, nakubaliana na wewe ni kwanini zamani Watumwa walikuwa wanazikwa hai na mfalme wao!!
I hate to say this lakini ukweli mchungu ni kwamba, kupoteza mbuzi mmoja pale Vingunguti au hata kuku mmoja pale Kisutu, ni hasara kubwa kwa taifa na ustawi wa dunia kwa ujumla kuliko kupoteza Misukule 100 ya JPM!
Wala sio uongo... na aliyeturoga ameshakufa!!Mkuu,
Sijui watanganyika tulilogwa na nani?