Ukiendelea kubaki humu na hali ya hewa hii tukueleweje?

Watu wa dar bhana,huwa ni washamba sana wanahis wamikoani hawajui hata mambo ya internet na jamiiforum

Wengi ambao hawajawah toka nje ya dar huwa wanahis hata mikoani hakuna internet
Huwa wanahisi walokua mikoani wote ni waluga luga na washamba na wanahisi mvua ikinyesha dar basi ni nchi nzima imenyesha๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Mvua inanyesha, radi sasa mpaka naogopa kuzima taa
We nawe unapenda tu kulala na taa, ungeni pm mbona ningekuja chap hapo kukupa company kisha tungezima hiyo taa unayozungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ