Pre GE2025 Ukienguliwa na Tume ya Uchaguzi Kugombea Urais Kata Rufaa Mahakama Kuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2024-01-07-18-27-58-1.png
Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi .

Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe .

=====

Screenshot_2024-01-07-18-28-16-1.png
 
View attachment 2864935Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi .

Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe .

=====

View attachment 2864936
Mkenge huo.

Hizi bla bla zote zinatokana na kukosa Tume Huru ya UChaguzi na Katiba bora.

Ccm wanapiga dana dana tu kila mwaka makongamano na vikao.

Kazi ni moja tu Tume Huru ya.Uchaguzi sifa moja wapo Wasimamizi wasiwe Wakurugenzi wa ccm

Huu ni wembe mkali kwa cmm
 
Hapo ndipo tulipo
 
View attachment 2864935Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi .

Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe .

=====

View attachment 2864936
ni sawa,
akate rufaa wengine wasonge mbele na hatua zingine za uchaguzi. akishinda rufaa yake atashiriki uchaguzi mwingine ujao 🐒
 
View attachment 2864935Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi .

Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe .

=====

View attachment 2864936
Kwa mtu mwenye akili timamu sawasawa kabisa, hawezi kupoteza muda wake kwa kujishughulisha na masuala ya Siasa za Uchaguzi za nchi ya Tanzania, just a rubbish and the wastage of time.
 
Back
Top Bottom