sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
1.KABLA YA KIFO
Nlitumia muda mwingi kazini kuliko kwenye familia.
Sikuwaomba msamaha watu nliowakosea makosa maksudi.
2. BAADA YA KIFO
Binafsi ntamaindi sana jinsi ntavyopostiwa r.i.p hata na watu ambao walikuwa hawana msaada kwangu na hata hawakuwahi kunicheki kwa miaka zaidi ya minne. hizo status sasa utaziona "pumzika kwa amani dudu jeupe, ulikuwa rafiki yangu sana, ni jana tu tumeongea mambo muhimu ila leo haupo nasi" 😂😂