sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
Tia mboga mkuuNatamani kuandika yaukweli ila naona yako personal sana.
ukijuta usije ukawapa malaika kazi ya kukubembeleza ukiwa unalia huko mbinguni.Nijute ili iweje? Kujuta ni kujitafutia stress zisizo na msingi
yaani eti huku una stress ya kufariki halafu upate tena stress za kipindi ukiwa hai!!hivi ukifufuka wakati ushachimbiwa itakuwaje sasaNijute ili iweje? Kujuta ni kujitafutia stress zisizo na msingi
Priceless soulSitaumia, sitajutia maana sipangi mimi kifo na wala muda wa kufanikiwa. Maana mimi napambana tu, niwe zaidi ya jana