Ukifanya haya ndoa yako itadumu milele

Ukifanya haya ndoa yako itadumu milele

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5,934
Reaction score
10,206
Fuata hatua moja kati ya hizi ili kudumisha amani katika ndoa yako.
1.Ukiingia bafuni kuoga nenda kaoge na mkeo
2. Kama itashindikana kwenda kuoga na mkeo basi nenda kaoge na simu yako
Hivi vitu viwili Mke & Simu yako vikikaa pamoja vinaweza kuibua mazito.
Usiniulize kwa nini[emoji12]
 
DfEkdY1XUAAVvbf.jpeg
 
Weka house girl mzuri ndani uwe unawahi rudi home.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Msingi mkuu wa ndoa imara ni kuvumiliana.......na kusameheana tu......

Kama wewe si mvumilivu na mtu mwenye kuweka vitu moyoni basi ndoa si size yako!!!!!
 
Mtanisamehe Nioge na mke wangu? tumbua looote lile! nitachelewa kazini kila siku! chupi yake tu shida kwangu jamani!
 
Back
Top Bottom