Ukimchukua darasa la Saba na mwenye degree..wote ukawapa mtaji wa million.1..mwenye degree atatumia laki. 3 kununulia PC au smartphone kwanza agoogle vitu kam hivi billgate/MO alipataje utajiri,wafate baada miaka kadhaa utamkuta la saba katoboa kuliko degree holder..
MAISHA NI KUPAMBANA MZEE NA KUKIPENDA UNACHOFANYA TU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mim nimeishia darasa la saba..nimefanya utafiti huu sample ni mm mwenyewe na niliomaliza nao darasa la saba ambao wamemaliza vyuo mpaka sasa nawaona wanavyohangaika mitaani na maisha kuliko mm wa la sabaWewe utakua ni darasa la saba bila shaka.
Ikiwa kwa namna yoyote ile una degree basi wewe ni mjinga sana na huko chuoni ulienda kusomea ujinga.
Sample size ya kufanyia tafiti yako ina ukubwa gani
Tuanzie hapo kwanza
Sent from my iPhone using JamiiForums
una muda wa kufuatilia udaku wa daimond
Ni kweli mim nimeishia darasa la saba..nimefanya utafiti huu sample ni mm mwenyewe na niliomaliza nao darasa la saba ambao wamemaliza vyuo mpaka sasa nawaona wanavyohangaika mitaani na maisha kuliko mm wa la saba
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia ubongo kiandika huu upuuzi hapa au mini | watu wangu wote ninaowafatilia kwenye maisha ni wasomi hakuna story ya mafanikio ya mtu wa darasa la saba kokote utapokwenda | eti watanunua smart.Ukimchukua darasa la Saba na mwenye degree..wote ukawapa mtaji wa million.1..mwenye degree atatumia laki. 3 kununulia PC au smartphone kwanza agoogle vitu kam hivi billgate/MO alipataje utajiri,wafate baada miaka kadhaa utamkuta la saba katoboa kuliko degree holder..
MAISHA NI KUPAMBANA MZEE NA KUKIPENDA UNACHOFANYA TU
Sent using Jamii Forums mobile app