Ukifanya hivi, hakika utafanikiwa

Ukifanya hivi, hakika utafanikiwa

Ukimchukua darasa la Saba na mwenye degree..wote ukawapa mtaji wa million.1..mwenye degree atatumia laki. 3 kununulia PC au smartphone kwanza agoogle vitu kam hivi billgate/MO alipataje utajiri,wafate baada miaka kadhaa utamkuta la saba katoboa kuliko degree holder..
MAISHA NI KUPAMBANA MZEE NA KUKIPENDA UNACHOFANYA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakua ni darasa la saba bila shaka.
Ikiwa kwa namna yoyote ile una degree basi wewe ni mjinga sana na huko chuoni ulienda kusomea ujinga.
Sample size ya kufanyia tafiti yako ina ukubwa gani
Tuanzie hapo kwanza

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kweli mim nimeishia darasa la saba..nimefanya utafiti huu sample ni mm mwenyewe na niliomaliza nao darasa la saba ambao wamemaliza vyuo mpaka sasa nawaona wanavyohangaika mitaani na maisha kuliko mm wa la saba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mim nimeishia darasa la saba..nimefanya utafiti huu sample ni mm mwenyewe na niliomaliza nao darasa la saba ambao wamemaliza vyuo mpaka sasa nawaona wanavyohangaika mitaani na maisha kuliko mm wa la saba

Sent using Jamii Forums mobile app

Sample yako inapaswa iwe kubwa kwendana na population yako. Watu kibao wanaishia la saba kila mwaka ila umeamua kuchukua sample ya mtu mmoja hilo ni kosa kubwa mno.

Ivi unajua ni watu wangapi wamemaliza chuo kikuu wameajiriwa kwenye mashirika ya uma wapo serikalini wapo wanafanya miradi binafsi.
Unadhani ni sawa kujiangalia wewe na hao wachache unaokaa nao huko kugeneralize kuwa wasomi wote wanaangaika na maisha??.
Haya swali lingine umetumia njia gani kusample population yako??
 
Nilifuatilia nikagundua ametajirika na 1.5 trillion ya wanyonge

Sent by Diaspora
 
Ukimchukua darasa la Saba na mwenye degree..wote ukawapa mtaji wa million.1..mwenye degree atatumia laki. 3 kununulia PC au smartphone kwanza agoogle vitu kam hivi billgate/MO alipataje utajiri,wafate baada miaka kadhaa utamkuta la saba katoboa kuliko degree holder..
MAISHA NI KUPAMBANA MZEE NA KUKIPENDA UNACHOFANYA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia ubongo kiandika huu upuuzi hapa au mini | watu wangu wote ninaowafatilia kwenye maisha ni wasomi hakuna story ya mafanikio ya mtu wa darasa la saba kokote utapokwenda | eti watanunua smart.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom