Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Tunabahatisha bahatisha tu

Wenzetu wangeshafanya research rahisi sana kupitia mahospitali na kujua kazi za wagonjwa wa ukimwi...
 
Waosha kucha za wanawake, lolololoooooooh
 
1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
kwa hiyo ww ndo unaongea na mtoa roho kwamba ww hautakufa ?
 
Mapasta,

wachungaji,
wainjilisti

Madokta

washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili
Hahaha....Bora mimi sipooo
 
Kazi zote ambazo wateja ni akana dada/mama wa makomo....kuuza genge, vipodozi, nywele, Kucha, Saloon ya kike, nguo za kike, viatu, chips yai/zege na kuku choma, dereva boda boda, bajaj na uber.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…