Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

Basi ni kila mtu
 
sasa wakuu mbona nchi itabakiwa na mafundi umeme tu labda.
Najua fundi bomba lazma aondoke.
Huyo naye hatabaki salama. Mkewe lazma atakuwa kama si mama lishe, basi muuza matunda barabarani au mama wa chapati au msusi au..... asha date na waliotajwa mara nyingi huko awali.
 
Hivi kwanini mnapenda kufufua makaburi
Yaani uzi wa 2012 unafufuliwa mwaka 2021
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Itoshe kusema tu huo "ugonjwa umekaa pabaya"
Auchagui pa kutua uwe shehe au mchungaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…