Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
Mi siruhusu mamsapu aende buchani kabisaaa. Wale jamaa wanachanganya Sana wake za watu na vile vinyongeza vyao 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mi siruhusu mamsapu aende buchani kabisaaa. Wale jamaa wanachanganya Sana wake za watu na vile vinyongeza vyao 🀣🀣🀣🀣🀣
Hahaha wauza bucha sio watu wazuri
 
1.Mabaamedi na mameneja wao
2.Madereva tax
3.Vinyozi na wasusi wa kiume
4.Madj (except me)
5.Wanamuziki
mwisho wao kama si kufa kwa ukimwi au kuuliwa kwa kufumaniwa basi ni bahati yako. Najua zipo nyingi kwa saiz nimezikumbuka hizo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…