Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
- #81
sasa naona mmataja kila sekta sasa nan atabaki
kwani kazi yako wewe imetajwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa naona mmataja kila sekta sasa nan atabaki
MakwayaMasta, mastaa Mpirani etc
Aaah wale wa buguruni 100% hawana hyo mambo most of them ni dogodogoz hawana
mmesahau wachimba madini ya mererani hao hupata pesa nakuishia kwa wadada
Mpiga ngoma.
ma-secretary
Wafanyakazi TBC. Wacheza mpira. Waigizaji. Wavuvi ktk visiwa vya ziwa victoria
Mapasta,
wachungaji,
wainjilisti
Madokta
washauri nasaha
askari polisi na ,magereza
wabunge
Rais
TRA
Muuza nguo za Kike
MC
Fundi cherehani
Muuza genge
Bwana Ng'ombe
House Girl.
Muimba kwaya Kanisani
Fundi Decoder
Mwalimu
Wakili
Duh! Mijitu mingine sijui vipi!!Wana Ccm bora ukimwi kuliko ccm