Ukifanya Mambo Haya 50 Utafanikiwa Sana Mwaka Huu

Hiyo namba 2 huwa naikataa sana, wewe lala usingizi kadiri ya mwili wako unavyoitaji. Kuwahi kuamka sio kufanikiwa.
Wataalam wa afya wanashauri watu wazima walale masaa 7-9 kwa siku. Anayelala zaidi ya masaa hayo bila sababu za kiafya, atakuwa anapenda usingizi.

Biblia katika Mithali 20:13 inasema:
"Usipende usingizi, usije ukawa maskini..."
 
Wataalam wa afya wanashauri watu wazima walale masaa 7-9 kwa siku. Anayelala zaidi ya masaa hayo bila sababu za kiafya, atakuwa anapenda usingizi.

Biblia katika Mithali 20:13 inasema:
"Usipende usingizi, usije ukawa maskini..."
Miili haifanani Mkuu, na hizi study bado zinaendelea hadi leo hivyo sio zakutegemea sana. Haiwezekani mtu mwenye kilo 50 akalala sawa na mtu mwenye kilo 90.

Ni sawa na zile habari za kunywa maji lita 5 kwa siku. Haya mambo hayafai kufanywa kuwa ndio jumla kwa wanadamu wote. Mtu mwenye kilo 50 hawezi kuwa na uhitaji sawa wa maji kwenye mwili wake na mtu mwenye kilo 90.

Muhimu ni mtu lala mpaka utakapoamka (hata kama ni masaa 10) na kunywa maji vile unahisi mwili wako unahitaji. (hata kama ni nusu lita)
 
Amen ubarikiwe sana 🙏
 
Ubarikiwe sana.. Bandiko moja linalofunza sana. Ntaishi nalo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…