Ukifanya mzaa unaweza kufa njaa kwenye nchi ya asali na maziwa

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor issues utazisolve ukiwa umeshiba.

Mungu amuongezee neema mwarabu wa Africable pale Mivinjeni kwa kuwezesha jamii kupata mlo kila jioni kwa sisi ambao tunaijua njaa na kuexprience kile ni kitendo cha huruma ya kiwango cha juu.
 
Mzee baba vp unajisogezaga pale nn kupata msosi kwa wale wa kurasini
 
Wanaita kwa maurana analisha watu msosi bure kila cku ila ni jioni saa 12 kituo mivinjeni kurasini
Watu km hawa wanapepo yao ndogo huko peponi ingawa mashekhe wanasema kwamba muislamu akifa haendi peponi anaenda motoni akishatoka motoni ndio anaenda peponi, maurana ubarikiwe sana ila motoni kwanza kisha utaenda peponi
 
Back
Top Bottom