BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Wanaita kwa maurana analisha watu msosi bure kila cku ila ni jioni saa 12 kituo mivinjeni kurasiniMwarabu wa mivinjeni
Mzee baba vp unajisogezaga pale nn kupata msosi kwa wale wa kurasiniMbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor issues utazisolve ukiwa umeshiba.
Mungu amuongezee neema mwarabu wa Africable pale Mivinjeni kwa kuwezesha jamii kupata mlo kila jioni kwa sisi ambao tunaijua njaa na kuexprience kile ni kitendo cha huruma ya kiwango cha juu.
True kabisa milo mitatu unakuwa na uvivu wa kufikiriMilo 3 unaleta umaskini kimawazo na kiiafya
Ngoja akusikie Bill Lugano ,ambaye alisikitika sana kujua watu wa Tz wanakula Milo mitatu tukumbe kuna kitu kina itwa milo 3, mimi napiga 1 tu tena sili Sana.
Watu km hawa wanapepo yao ndogo huko peponi ingawa mashekhe wanasema kwamba muislamu akifa haendi peponi anaenda motoni akishatoka motoni ndio anaenda peponi, maurana ubarikiwe sana ila motoni kwanza kisha utaenda peponiWanaita kwa maurana analisha watu msosi bure kila cku ila ni jioni saa 12 kituo mivinjeni kurasini
Kuwa na pesa ni jambo moja afu kuwa na pesa kukumbuka wahitaji hiyo ni roho tofauti