Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

Zeddicus

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
627
Reaction score
535
Wakuu habari zenu.

Nimekuwa katika mapenzi na dada mmoja hivi sasa tunaelekea mwaka wa pili huu. Sijawahi kumkwaza kufikia hatua ya labda kuninunia week au siku kadhaa hivi. kifupi mimi ni muumini wa uaminifu katika mapenzi (though hii imenicost ktk relation zilizopita ila sitaki kuzungumzia hilo).

Ila yeye amekuwa akinikwaza sana hasa katika jambo zima la matumizi ya simu. Utakuta hatujaonana labda week lakini siku tutakapoonana hata kama ninashinda nae siku nzima yeye yupo busy muda wote na simu yake akichat watsapp na social networks nyingine. Sawa ninaweza kuonekana nina wivu ila hatambui kuwa ni muda mrefu hatujaonana anitengee muda wangu tuongee na kufurahi pamoja sasa yeye yuko busy tu anafesibuka.

Jambo jingine ni yeye kuwa muwazi kwangu kila afanyapo kosa lolote mfano akilewa tu lazima anipigie simu kuniomba msamaha kuwa mpenzi wangu nimelewa nakuomba unisamehee...hii inamaanisha nini wakuu? Ni kwamba ananipenda au ni geresha tu! Kingine kila mwanaume anayemtongoza lazima aniambie me hata huwa simfuatilii ila najua kutokana na yeye anavyoniambia...what does it mean??

Is she really love me...or should I take a leave in this relationship because of the way she is busy with her gadget? Wakuu naomba mawazo yenu without insultation.

Natanguliza shukrani
 
kuwa mwangalifu bi dada ana lake jambo.....unakuwa busy ukiwa na mtu wako kisa unakuwa unachat na nani zaidi labda kwa sms za lazima
 
Mh..mbona mapenzi ya kitoto?huyo mpenzi wako umri gani?inahusu nn wewe ujue nani kamtongoza na kalewa?na kwann akuombe msamaha akilewa je umemkataza asinywe?na anachat na nani huko kwenye social networks?wanaume wenzio?

Miaka 24..Ndio nilimkataza asilewe, na nilimueleza kama atakuwa na hamu na pombe aniambie nimtoe out mwenyewe...na hua namtoa out mara kwa mara.

Huko social network sijui anachart na nani kwa sababu hua sitaki kushika simu yake na kupekua.
 
Miaka 24..Ndio nilimkataza asilewe, na nilimueleza kama atakuwa na hamu na pombe aniambie nimtoe out mwenyewe...na hua namtoa out mara kwa mara.

Huko social network sijui anachart na nani kwa sababu hua sitaki kushika simu yake na kupekua.
Etiii ukiona hivo huyo si wako peke yako!mko wengi!
 
Mi akija kwngu 2nabadilishana cmu, yupo free kupokea cmu yngu yoyote ile nami pia ypo free kuchat au kuongea na yoyote kwny cmu yke 2naishi maisha ya raha no quarrels
 
Huyu demu wa filam za saa nne za kifilpin.kama vp we kuwa unamgonga kisela tu
 
daaa kuna wanaume aisee mim huwa sijui nawachukuliaje yaaani mambo mengine mnaletewa na wanawake zetu kama Salam za toka lakini mnajifanya uzungu mwingi mnawaganda matokeo yake mnafanyiwa mambo ya ajabu sana .

ndio maana mm siwezi kabisa mapenzi yenu yakuigiza igiza na mwanamke akiniketea mapicha picha ya kimapenzi kabla hata hajamaliza tamthilia zake anakutana na maamuzi yakiume.

mwanamke sio wakumchekea hata kidogo aisee.

ujue vijana wenzangu sasa hivi wengi mmelegea sana Hamna msimamo maamuzi hakuna mpaka wanawake wanawapanda vichwani nyie mpooo tuu kama misukule
 
Kiukweli,kwa jinsi ulivyojieleza,huyo mpenzio bado hajitambui,na sio mwaminifu,only 24 analewa?busy chatting?na nani?anyway akili kichwani mwako
 
tabia huwa haibadiliki, huwa tunai- suppress tu kutokana na mazingira.
huyo ndivyo alivyo. fuata moyo wako.

kuna kipindi ataacha kukuomba msamaha kwa kulewa na hatakuwa akikwambia waliomtongoza.

ikitokea hivyo, muulize kama ameacha kulewa na kama wanaume wameacha kumtongoza.

ukimwoa utamzuia kunywa pombe?
 

Umenena ukweli mkuu, wanawake wanatupanda vichwa siku hizi.
 
Unaibiwa ndugu fanya uchunguz mapema huyo anakuzingua
 
Duuh mbona najitahidi kumridhisha kwa kila kitu au wanawake nao huo hawatosheki!!?
Dont put much trust unaweza ukaishia kuumia....amini ila amini kidogo....siwezi sema hawatosheki coz wapo wengine wanatosheka..
 
kuwa mwangalifu bi dada ana lake jambo.....unakuwa busy ukiwa na mtu wako kisa unakuwa unachat na nani zaidi labda kwa sms za lazima

bidada ana dharau za hali ya juu na inaelekea mtoa mada kawekwa kiganjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…