Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

Ukifanyiwa hivi na mwanamke inamaanisha nini haswa?

si sawa mwanamke ama mwanaume kumwambia mwenzake fulani amenitongoza ama nimemtongoza si busara hata kidogo kwani wengine huwa hawawezi kustahimili kutongozewa wanajiweka katka sehemu mbya xana je? anaweza akawa anahtaji ajuwe unampenda? je usikiapo fulani amemtongoza unakuwaj? am umzoee pamoj na hal hiy kuw yey ni mzur xan licha ya wew kuw naye lakn bad anahtajiwa hvy anakuweka attention! je wote wanaomtongoza anakuambia? ni wale tu asiyowapenda je? wale waliyomvutia? maisha ya mapenzi ni magumu xana ambaye haitaj stress head pain or any heart attack problems do not ENTER here
 
daaa kuna wanaume aisee mim huwa sijui nawachukuliaje yaaani mambo mengine mnaletewa na wanawake zetu kama Salam za toka lakini mnajifanya uzungu mwingi mnawaganda matokeo yake mnafanyiwa mambo ya ajabu sana .

ndio maana mm siwezi kabisa mapenzi yenu yakuigiza igiza na mwanamke akiniketea mapicha picha ya kimapenzi kabla hata hajamaliza tamthilia zake anakutana na maamuzi yakiume.

mwanamke sio wakumchekea hata kidogo aisee.

ujue vijana wenzangu sasa hivi wengi mmelegea sana Hamna msimamo maamuzi hakuna mpaka wanawake wanawapanda vichwani nyie mpooo tuu kama misukule
Hii imenipa faraja kuwa kumbe bado kuna vijana bado wanaiwakilisha vyema jinsia-kiongozi kwa ukamilifu. Keep it up na wasaidie vijana wenzako wabadilike.
 
Mhh ngumu kumesa huko social network lazima kuna wanaomkip biz by z way siamini kila anaemtongoza anakwambia chunguza
 
Back
Top Bottom