hilda ruguge
Member
- Apr 7, 2014
- 7
- 4
kama anakueleza akitongozwa anakupenda. na swala la kulewa nadhani ni company aliyonayo ndo tatizo. kwa ufupi huyo ukimbana ni anawezekana. try kuwa karibu nae na umpende atayaacha anayofanya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi akija kwngu 2nabadilishana cmu, yupo free kupokea cmu yngu yoyote ile nami pia ypo free kuchat au kuongea na yoyote kwny cmu yke 2naishi maisha ya raha no quarrels
Wa peke ako ni ngumu kwakweli labda utoboe mgomba...
Wapo bwana acha kumkatisha tamaa
Aseee watu wanakumegea...concluded
Wakuu habari zenu.
Nimekuwa katika mapenzi na dada mmoja hivi sasa tunaelekea mwaka wa pili huu. Sijawahi kumkwaza kufikia hatua ya labda kuninunia week au siku kadhaa hivi. kifupi mimi ni muumini wa uaminifu katika mapenzi (though hii imenicost ktk relation zilizopita ila sitaki kuzungumzia hilo).
Ila yeye amekuwa akinikwaza sana hasa katika jambo zima la matumizi ya simu. Utakuta hatujaonana labda week lakini siku tutakapoonana hata kama ninashinda nae siku nzima yeye yupo busy muda wote na simu yake akichat watsapp na social networks nyingine. Sawa ninaweza kuonekana nina wivu ila hatambui kuwa ni muda mrefu hatujaonana anitengee muda wangu tuongee na kufurahi pamoja sasa yeye yuko busy tu anafesibuka.
Jambo jingine ni yeye kuwa muwazi kwangu kila afanyapo kosa lolote mfano akilewa tu lazima anipigie simu kuniomba msamaha kuwa mpenzi wangu nimelewa nakuomba unisamehee...hii inamaanisha nini wakuu? Ni kwamba ananipenda au ni geresha tu! Kingine kila mwanaume anayemtongoza lazima aniambie me hata huwa simfuatilii ila najua kutokana na yeye anavyoniambia...what does it mean??
Is she really love me...or should I take a leave in this relationship because of the way she is busy with her gadget? Wakuu naomba mawazo yenu without insultation.
Natanguliza shukrani
Wewe shauri yako unadhani RR hatekelezi hii kauli mbiu?
Mlete mda anauliza kama anapendwa....baaass...msichakachue.
Hili la kuchat au kuwa busy mie pia linaniuzi sna, na hili kwa wanaume na wanaake kwa nini hatujaliani? Tena utakuta katikati ya mlo mtu anapokekea simu. Yaani hakuna respect kabisa hasa mkiwa wawili. Nile tabia ya kukaa na simu mezani. na simu. Wengi wetu linapokuja kuja swala la kuwa romantic inakuwa issue.