Ukifatilia Rwanda na Burundi mpaka kutokea kimbari ni mfano mjinga uliofanya funika kombe mwanaharamu hapite kusabisha matokeo hayo

Ukifatilia Rwanda na Burundi mpaka kutokea kimbari ni mfano mjinga uliofanya funika kombe mwanaharamu hapite kusabisha matokeo hayo

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
6,007
Reaction score
15,216
Huu msemo funika kombe mwanaharamu hapite naweza kusema hata Tanzania iliweza kuhusika japo kuwa na usalama wa taifa.

Mfano bandari ya Tanzania iliwezaje kupitisha silahaa na mapanga bila kujua wakati kulikuwa na idara ya usalama kipindi chake ilikuwa hatari mpaka iliweza kipindi cha nyuma kumshinda iddi amini.

Ukifatilia rwanda na burundi ndio utajua watanzania kwa sasa kuna siku wataonesha kuwa uvumilivu wa ule msemo jinsi CCM na serikali unavyo jitamba,majigambo,kejeli,kutisha wakiamini huu msemo .Hipo siku utawapelekea kama walivyofanya miaka ya nyuma.
 
Back
Top Bottom