Ukifika Mabibo sokoni ndo utajua kwanini watu hawataki kuachia office

Ukifika Mabibo sokoni ndo utajua kwanini watu hawataki kuachia office

Moneyowner

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,423
Reaction score
1,252
Wanajamvi,

Mimi binafsi napenda sana biashara kitu ambacho kimenifanya niwe mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yahusuyo biashara. Nilichikiona Leo pale Mabibo soko la matunda miundo mbinu ya pale inasikitisha.

Ushawahi kuona soko lenye tope na watu wakitembea peku wakivuruga hilo tope na business zinaendelea kama kawa noti zinahesabiwa kwa wingi kama bank. Alafu ukitoka pale nje kuna biashara ya kuosha miguu mh! Dar es Salaam jamani.

Sijui ushuru unatumika kufanya kazi gani pale ni hatari sana kwa afya za watu.Nilichojifunza ni kwamba hakuna kazi rahisi hapa kwa dunia.

Karibu mjionee hasa msimu huu wa mvua, ila kule upande wa viazi ni kusafi. Naamini hawa wafanyabiashara wangeamua badala ya kutoa ushuru watengeneza miundombinu wakijichanga buku5 daily nahisi in 2 yrs pangependeza sana kama Manispaa imeshindwa kuboresha miundombinu.
 
mahali pale ni pachafu mno yaani magonjwa pale ni njenje tu sijui wako wapi mabwana afya
 
masoko yote machafu kkoo wanajitahidi kidogo
 
Tanzania bado tuko kwenye zama za mawe na ujima.

Wewe angalia , stend ya busi ubungo kama zizi la wanyang'anyi, masoko yote, wewe Naenda hata pale feri sokovla samaki jirani na jumba takatifu, kwa kifupi wawakilishi wengi wa wananchi hawsjielewi.

Pambana na hali ya nyumbani kwako pawe pasafi mkuu.
 
NAWAMIGUU-MABIBO-SOKONI-2-1.jpg
 
Back
Top Bottom