Yeye hakusanyi ushuru, kuna watendaji, diwani, manispaa, uongozi wa soko n.kmzee wa mafisa wa mikakati hapajui hapa ee?
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye hakusanyi ushuru, kuna watendaji, diwani, manispaa, uongozi wa soko n.kmzee wa mafisa wa mikakati hapajui hapa ee?
![]()
Ushuru ni dili za watu ukishangaa matope ya mabibo usisahau na mahandaki ya stand ya kimataifa ya mabasi ya Ubungo kama uwanja wa mnada wa ng'ombe na ushuru unatolewa,wangegoma kutoa ushuru wachangishane waweke miundombinu vizuri ila lzm kuwepo na tofauti kati ya third world na develop world.Ndo utalii wa ndani huo kivutio,Pesa juu ya tope au mashimo ya Ubungo stand.Wanajamvi,
Mimi binafsi napenda sana biashara kitu ambacho kimenifanya niwe mfuatiliaji wa mambo mbalimbali yahusuyo biashara. Nilichikiona Leo pale Mabibo soko la matunda miundo mbinu ya pale inasikitisha.
Ushawahi kuona soko lenye tope na watu wakitembea peku wakivuruga hilo tope na business zinaendelea kama kawa noti zinahesabiwa kwa wingi kama bank. Alafu ukitoka pale nje kuna biashara ya kuosha miguu mh! Dar es Salaam jamani.
Sijui ushuru unatumika kufanya kazi gani pale ni hatari sana kwa afya za watu.Nilichojifunza ni kwamba hakuna kazi rahisi hapa kwa dunia.
Karibu mjionee hasa msimu huu wa mvua, ila kule upande wa viazi ni kusafi. Naamini hawa wafanyabiashara wangeamua badala ya kutoa ushuru watengeneza miundombinu wakijichanga buku5 daily nahisi in 2 yrs pangependeza sana kama Manispaa imeshindwa kuboresha miundombinu.
Wanalaza si chini ya elf 30 kwa siku waosha miguu hao na tai zako uwafikii kimapato uomba mvua inyeshe kila siku watimize hesabu.Duuu hiyo biashara ya kuosha miguu
Wanasubiri wapewe za msaadaHatari kwa afya, ni bora kungekuwa hata na gloves
Alishapita kupaona atapafanyia ufumbuzi Mzee wa ubunifu ataleta wawekezaji pata kaa sawa tu ondoa shakabora mkuu wa mkoa umepaona hapa maama in shida
Ipo hata soko la Ilala nilionaga kuna watu wanafanya izo kazi,kunawa shilingi mia .........na kijana wa watu unamkuta ana madumu kama kumi ivi ameyaweka pembeniDuuu hiyo biashara ya kuosha miguu
Hivi manispaa bado zinakusanya ushuru? Naomba kufahamu wapendwaYeye hakusanyi ushuru, kuna watendaji, diwani, manispaa, uongozi wa soko n.k
Mnaonya na sabuni?Sh100 kuosha miguu