Ukifika mbinguni

Ukifika mbinguni

Juma chief

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Posts
2,764
Reaction score
2,366
Nawaza ...siku ukifika mbinguni utahuliza swali gani ambalo unadhani limekosa majibu unayoyaamini hapa duniani....??
 
Nitahuliza..ni kweli wadamu tulianzia sokwe....??
 
Nitamuuliza Mungu alifikiria nini kumuumba mwanaume akiwa na govi?
 
Back
Top Bottom