Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,558 Reaction score 64,966 Jul 7, 2026 #1 Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80? Afya imara Utajiri wa kutupa Umasikini wa kutupa Huwezi kutembea Ukiishi kijamaa Ukiishi kibepari Utakuwa umetengwa Utakuwa umekufa Ukifurahi na wajukuu na vitukuu Utaonekana mchawi Utakuwa ombaomba Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha Nitaendelea kutafuta hela Nitakuwa muhubiri wa mambo ya imani/injili Nitakuwa mbishi na mjeuri
Ipi kwako ni jibu sahihi, ukifikisha miaka 80? Afya imara Utajiri wa kutupa Umasikini wa kutupa Huwezi kutembea Ukiishi kijamaa Ukiishi kibepari Utakuwa umetengwa Utakuwa umekufa Ukifurahi na wajukuu na vitukuu Utaonekana mchawi Utakuwa ombaomba Utatubu dhambi zako zote ulizofanya katika maisha Nitaendelea kutafuta hela Nitakuwa muhubiri wa mambo ya imani/injili Nitakuwa mbishi na mjeuri