Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia

Kudate nawe yahitaji moyo mgumu mno.....una chembechembe za kumuumiza mtu kwa maneno kimtindo.Ilikuwa ngumu kukata tamaa Ila niliweza mkuu.Ila hongera kwa kujaliwa moyo wenye utu nje ya mahusiano...Barikiwa sana
Mahusiano ndio πŸ˜“πŸ˜“
Usema kweli sipendi kupendwa, nikiona mtu atanipenda au ananipenda nakula kushoto.. naogopa kuumiza mtu kama mie ambavyo nimewahi kuumizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…