Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia

Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia

Ukifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia.

Ukiwa huna mwanamke wa uhakika wa kuishi nae ni tatizo

Sikiliza video.
Mtangazaji yupo sawa au yeye ndio anatatizo?
Nilitegemea nisikie kuwa hayo mambo ameongea Bill Gates au Elon Musk. Kumbe ameongea mtu ambaye analipwa kupiga story za vijiweni 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwenye mtoto hapo kapuyanga, na hapo kua na mwenza, wengne hawana wenza wanaopiga tuu yoyote wanatembea
Inategemeana na tafsiri yake ya neno tatizo. Kama kuwa na miaka 50 na una mtoto wa miaka chini ya 20 ni tatizo basi ni tatizo.
 
BINADAMU TUNAPENDA SANA KUISHI KWA KUKARIRI UKAMILIFU NI KWENYE VITU KAMA KUZAA, KUOA NA KUJENGA.
 
Back
Top Bottom