DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kuna watu wakiwa 25 hawana watoto, wataumia,
Kuna watu hawataki watoto,
Ni suala la kimtazamo hilo.
Ila kuhusu pesa, mtu yeyote anayejitegemea anawaza kuhusu kipato. Haijalishi umri.
Halafu unajikuta uko CCM..... LAZIMA uchanganyikiweUkifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia.
Ukiwa huna mwanamke wa uhakika wa kuishi nae ni tatizo
Sikiliza video.
Mtangazaji yupo sawa au yeye ndio anatatizo?
Sema ukweli ni serious kabisaKudate nawe yahitaji moyo mgumu mno.....una chembechembe za kumuumiza mtu kwa maneno kimtindo.Ilikuwa ngumu kukata tamaa Ila niliweza mkuu.Ila hongera kwa kujaliwa moyo wenye utu nje ya mahusiano...Barikiwa sana
Kidogo mkuuπSema ukweli ni serious kabisa
AnhaaaKidogo mkuuπ
Kwangu sioni tatizo apo alooUkifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia.
Ukiwa huna mwanamke wa uhakika wa kuishi nae ni tatizo
Sikiliza video.
Mtangazaji yupo sawa au yeye ndio anatatizo?
Sio jambo jema mtangazaji Kukaa mbele ya media nakuongea jambo lenye makwazo kwa watu wengineKwahyo media za tz zinaajiri vilaza
Kwa mitazamo YENU wewe nayeye mko sawa kabisaWatu watabisha Sana ila jamaa yupo sahihi Kbsa
HawajitambuiSio jambo jema mtangazaji Kukaa mbele ya media nakuongea jambo lenye makwazo kwa watu wengine
Ndio, na huyo jamaa naona kama simuelewiDuuh mashamsham, si ni kipindi cha mipasho hiki??
Nilitegemea nisikie kuwa hayo mambo ameongea Bill Gates au Elon Musk. Kumbe ameongea mtu ambaye analipwa kupiga story za vijiweni π π π π π πUkifikisha umri wa miaka 33 bila mtoto ni tatizo, ukiwa huna kipato cha uhakika ni tatizo pia.
Ukiwa huna mwanamke wa uhakika wa kuishi nae ni tatizo
Sikiliza video.
Mtangazaji yupo sawa au yeye ndio anatatizo?
Hicho kipindi sio cha kusikiliza wanaume.Ndio, na huyo jamaa naona kama simuelewi
Nmeikuta Instagram kwenye page ya wasafi, sio kwamba nasikilizaHicho kipindi sio cha kusikiliza wanaume.
Inategemeana na tafsiri yake ya neno tatizo. Kama kuwa na miaka 50 na una mtoto wa miaka chini ya 20 ni tatizo basi ni tatizo.Kwenye mtoto hapo kapuyanga, na hapo kua na mwenza, wengne hawana wenza wanaopiga tuu yoyote wanatembea