Nadhani kazungumzia shemeji wa jinsia tofauti.Ukifiwa na mkeo ushemeji kwa kaka zake unakufa?
Sawa ufiwe na mkeo je ushemeji na DADA ZAKE mkeo utaendelea!?
Ila kama amezungumzia jinsia moja ushemeji lazima uendelee kwa manufaa ya watoto wa ndugu yake.