Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ma-Daktari Hata Mgonjwa asipokwenda kumuona Daktari wanalipwa na Mishahara na Serikali ya Mheshimiwa Rais Magufuli. HAPA KAZI itawalipa Mishahara yao mkuu.@KakaJambaziSa ma dr watakula nn!
View attachment 331617
(1) Ukila Tunda la Apple Aka Tufaha Hutoweza Kumuona Daktari.
(2) Ukinywa Maji Kwa Siku Lita 3 Hutoumwa na Maradhi Yoyote Siku nzima.
(3) Ukila Limau Moja Kwa Siku hutoweza kunenepa na hutokuwa na Mafuta yaliyozidi Mwilini.
(4) Ukinywa Maziwa Fresh Ya Ng'ombe Glasi Moja Kwa Siku hutoumwa na Maradhi ya Mifupa
Tumia njia hizo ili uweze kulinda Afya yako. Kinga Bora Kuliko Tiba.[/QUOTE
So ukila apple ndo unapona magonjwa yote mpaka usimwone Daktari?
Unaweza kuchanganya Limau na Asali kijiko 1na maji ya Uvuguvugu glasi 1 kila siku sio mbaya kiafya.Hapo kwenye Lemon ninatumaini ni kwa wale watu wanene pekee ama!!
Maana limao hupunguza mafuta mwilini, Vipi kwa sisi watu wembamba si tutakauka kabisa ama siye tule ndimu kwa siku!!
Kwani hayo Matufaha Ma (Apple) kutoka Afrika ya Kusini ni Feki nini? yana Tarehe ya Ku-Expiry date?lakini sio matufaha haya ya afrika kusini
Ndio fuata hapo picha utaonaapple moja kilasiku?
Hongera sana endelea kula faida yake utaiona.Mzizimkavu Asante kwa elimu, mimi nilijaribu ile ya apple, cucumber kila asubuhi. Sijajuta na bado natumia ni nzuri hata ngozi yangu iko poa sana.