Ukifuata ushauri wangu, hutoweza kwenda kumuona Daktari

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
USHAURI MZURI SANA.jpg

(1) Ukila Tunda la Apple Aka Tufaha Hutoweza Kumuona Daktari.

(2) Ukinywa Maji Kwa Siku Lita 3 Hutoumwa na Maradhi Yoyote Siku nzima.

(3) Ukila Limau Moja Kwa Siku hutoweza kunenepa na hutokuwa na Mafuta yaliyozidi Mwilini.

(4) Ukinywa Maziwa Fresh Ya Ng'ombe Glasi Moja Kwa Siku hutoumwa na Maradhi ya Mifupa

Tumia njia hizo ili uweze kulinda Afya yako. Kinga Bora Kuliko Tiba.
 
View attachment 331617

[/QUOTE

So ukila apple ndo unapona magonjwa yote mpaka usimwone Daktari?
 
Hapo kwenye Lemon ninatumaini ni kwa wale watu wanene pekee ama!!

Maana limao hupunguza mafuta mwilini, Vipi kwa sisi watu wembamba si tutakauka kabisa ama siye tule ndimu kwa siku!!
 
Unaweza kuchanganya Limau na Asali kijiko 1na maji ya Uvuguvugu glasi 1 kila siku sio mbaya kiafya.
 
Mzizimkavu Asante kwa elimu, mimi nilijaribu ile ya apple, cucumber kila asubuhi. Sijajuta na bado natumia ni nzuri hata ngozi yangu iko poa sana.
 
Fuateni huo ushauriili Ma-Daktari wapumzike na zogo la wagonjwa Ma-Hospitalini kazi kwenu.HAPA NI KAZI TU.
 
Back
Top Bottom