Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Niombe wananchi mtembelee akaunti ya tweeter ya Peter Madeleka mjionee ni mambo Gani yaliyopo kwenye hiyo akaunti. Mimi binafsi Siku amefariki JPM ndipo nilianza kumsikia huyu Bwana nikafuatilia baadhi ya stori zake na namna awamu ya Tano ilivyomtesa akiwa Gerezani.
Lakini nakumbuka baada ya kupitia historia yake na posts za watu dhidi yake kisha nikaona press release yake nilivuviwa kwamba huyu mtu ana stress au ni mtu amezoea kuabudiwa Sasa anatakiwa kuanza kuabudu.
For more than a year now naona analalamika lakini sometimes kulalamika Kwake anawasilisha hoja nzuri kabisa na anaonekana ana Nia nzuri ila Kuna agenda nyuma yake.
Kuna kipindi alipost Taarifa za kuacha kazi Kwa mke wake na kwamba anadai alipwe, pale ndipo nilipoona tunao Mawakili ambao awajaelimika. Pale ndipo nilipobaini kwamba kumbe huyu mtu hana maslahi mapana Bali yeye anapambana kuondoa utawala flani anaoamini kwamba ulihusika na kesi zake huko nyuma.
Leo nimesikitika tena kuona anaandika anataka kuuwawa, anapost Watumishi wanaotaka kumuua maana yake pamoja na kusoma Kwake Bado Hana Imani na Polisi, nilitegemea nione amefungua kesi ya jinai kabla yakuripoti kwenye mitandao na hivyo hao wenye nia ovu wasingeweza kuharibu ushahidi. Lakini nakumbuka iliwahi ripotiwa kwamba alikuwa askari Polisi means hata huko Polisi alikokuwa anafanya kazi awakumalizana vizuri ndiyo maana masuala yake mengi ya jinai anaweka mitandaoni.
Suala la mke wake nilitegemea aliwasilishe Kwa Katibu Mkuu kiongozi ndiye mlipaji na Mkuu wa utumishi lakini yeye analalamika mitandaoni; aina hii ya watu siyo wakuamini ni watu wabaya Sana wakipata madaraka.
Mimi Naamini watu waliumizwa na awamu ya Tano lakini nachelea kuamini kwamba akina Madeleka walikuwa hawana hatia, hadi akaingia kwenye bargaining na Kwa jinsi alivyo na uelewa mdogo wa namna yakudai haki Naamini atakuwa Kuna sehemu alikuwa anakula Kwa mrija Sasa mirija imekatwa.
Niwaombe wanasheria na watu wake wa karibu mkae na huyu Bwana mshauriane naye nakumrudisha kwenye mstari apate haki yake kama ifuatavyo.
1. Hoja ya mke wake kuachishwa kazi aiwasilishe kwa Katibu Mkuu kiongozi aachane na Uahamiaji wanaombabaisha. Afanye mambo proffesionally, anamdhalilisha mke wake kwakupost taarifa zake za ajira mitandaoni, anatumia vibaya utu wa mke wake.
2. Tuhuma za kuuwawa ashauriwe aende Polisi, kama anakosa Imani na Polisi maana yake anakosa Imani na Mhe. RAIS ambaye ni amri jeshi Mkuu.
3. Mshaurini asiendelee kutumia vipindi vya online na television kwa sababu yupo too emotional anaweza kupelekea chombo cha habari kufungiwa kwa sababu haonekani kujadili hoja anaonekana kujadili zaidi watu ambao may be anaugomvi binafsi nao.
4. Apunguze kutafuta kick, atafute pesa, awali kabla ya kufungwa watu wake waliofanya naye kazi wanaeleza mitandaoni alikuwa tajiri Sana, hakuwahi kuwatetea wananchi wanyonge aliwatetea mabeberu wenye Fedha Leo hii anapaswa kuanza kusimama na wanyonge, atetee wanyonge aachane na hizi siasa anazofanya.
5. Zipo dalili za wazi kwamba huyu kiumbe wakili msomi anavizia Ubunge au Nafasi ya Kisiasa, nimshauri asiwe moto sana awe baridi kidogo mambo yatapoa.
Hao watu wa Uhamiaji nakubali na nimekuwa naandika hapo kasoro zao mara Kwa mara na naweka ushahidi lakini Kwa namna Madeleka anavyotaka kuwaaminisha watu hasa kwenye mauji kupitia group la whatsapp hapana nasimama kuitafuta haki Kwa kumshauri afuate sheria.
Jeshi la Polisi na Katibu Mkuu kiongozi wakishindwa kufanyia kazi grevances zake na mke wake basi aje mitandaoni tumsaidie kupiga kelele. Asitumie social media kutafuta kick za kijinga, anadhalilisha taaluma na wanataaluma wenzake. Yeye anapaswa kuonyesha njia aje atuambie nimetafuta haki nikakosa Kwa njia rasmi siyo kutumia mitandao kuchafua watu wasioweza kujitokeza adharani kuongea.
Mawakili wa Tanzania jifunzeni kufanya kazi kitaaluma, acheni mehemko na kuenfluence maamuzi Kwa personal interest