Ukifuatilia akaunti ya Peter Madeleka Twitter; utabaini ni mtu mwenye kisasi na asiyefaa kupewa madaraka yoyote

Mtazame vizuri, ana ugonjwa wa akili(kichaa), ni mtaalamu wa mambo ya afya ya akili tu ndio atamtambua kuwa ni kichaa, na kichaa chake kinaathiri mpaka mke wake, anamfanya aache kazi, pia kichaa chake kinaitesa familia yake.

Mke lazima atakuja kumuacha, take note of this.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…