Ukifuatilia hizi kampeni, na ukisikiliza sera za wagombea urais, utagundua nchi imeshajichokea

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Nchi limeshajichokea kama karai la muuza chipsi wa tandika. Yaan mwaka 2025 mtu anaahidi watato wa darasa la tatu watajua kusoma na kuandika😁?

Mwingine anasema atazuia vitanda 6x6. Unaangalia mwingine anasema ataleta ubwabwa .hujakaa vizuri unaona watoto wanasombwa na gari Moshi kama nguo za mitumba wanapelekwa mikutanoni. Muda huohuo mbunge tena mtu mzima kisheti, anasema atakae kosoa serikali wao wanamroga😭.

Yaan nchi nzima nikama tumekalia dole gumba kudadeki !!

img_2_1756481692994.jpg
 
li nchi limeshajichokea kama karai la muuza chipsi wa tandika. Yaan mwaka 2025 mtu anaahidi watato wa darasa la tatu watajua kusoma na kuandika😁???, mwingine anasema atazuia vitanda 6x6. Unaangalia mwingine anasema ataleta ubwabwa .hujakaa vizuri unaona watoto wanasombwa na gari Moshi kama nguo za mitumba wanapelekwa mikutanoni..Muda huohuo mbunge tena mtu mzima kisheti, anasema atakae kosoa serikali wao wanamroga😭.

Yaan nchi nzima nikama tumekalia dole gumba kudadeki !!
Nchi ya manguruwe inaongozwa na mafisi matatu Ed, Benzai na Shenzi
 
Nchi limeshajichokea kama karai la muuza chipsi wa tandika. Yaan mwaka 2025 mtu anaahidi watato wa darasa la tatu watajua kusoma na kuandika😁?

Mwingine anasema atazuia vitanda 6x6. Unaangalia mwingine anasema ataleta ubwabwa .hujakaa vizuri unaona watoto wanasombwa na gari Moshi kama nguo za mitumba wanapelekwa mikutanoni. Muda huohuo mbunge tena mtu mzima kisheti, anasema atakae kosoa serikali wao wanamroga😭.

Yaan nchi nzima nikama tumekalia dole gumba kudadeki !!

View attachment 3460479
Watu wanatumia EV na Flying 🚕 sisi tuko kucheza singeri.
 
Back
Top Bottom