Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Kama Nawanda hakuvaa kondomu, binti anaweza kuchukua shahawa ukeni akaziingiza makalioni mwake, akatengeneza na viuchafu kidogo
 
Hayo ndio madhara ya kuruka na vibinti vya chuo.

Ange asses risk kabla ya kujihusisha nao.

Hao ni kukaa nao mbali,
 
Binti muongo
Nyuma na haijawahi Fanya angetokwa na damu na asingetembea.


Ni zengwe tuuuuu limetumika Dr kategwa kajaaa.


Binti hakuenda nyumbani moja kwa moja alifirwa njiani na watesi kukamilisha ushahidi
 
Hoja zako ni nyepesi sana
 
Yupo waziri mmoja mhaya Sasa marehemu. Alikua na sharubu. Tulikua tunakunywa naye Kinondoni bar moja maarufu ilikua na Malaya wengi nyuma ya soko la tx (shentembaa )Tena alikua anakaa stuli ndefu.
Just imagine a cabinet minister.
Ni binadamu nao.
 
Kama mission imeshakuwa complete basi hakuna kesi tena hapo itakuwa blaa blaa tu then mambo mengine yanaendelea kama kawaida.
 
Hebu jibu swali hili...
1. Je, mtuhumiwa alikutana na mlalamikaji tarehe na saa tajwa huko jijini Mwanza, mahali tajwa (Rock City Mall-Ilemela), wakaingia kwenye gari ya mtuhumiwa na kubaki humo wakiwa wawili kwa muda?
2. Je, mtuhumiwa kwa jina na nafasi yake katika tarehe tajwa alisafiri kwenda Mwanza kutoka Bariadi Simiyu?
3. Je, anamtambua mlalamikaji kwamba ni mpenzi wake na kwamba walishawahi kutofautiana namna ya kuendesha mahusiano yao?
4. Je, Mtuhumiwa alipofika jijini Mwanza alielekea katika hotel iliyokaribu na Rocky City Mall na kumpigia simu mlalamikaji?
5. Je, ni kweli mlalamikaji ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT kilichoko huko Malimbe-Nyegezi?
6. Je, kama mtuhumiwa anathibisha alisafiri kutoka Bariadi-Simiyu hadi jijini Mwanza, alipokutana na msichana ambaye ni mlalamikaji kwa kudhalilishwa kingono kwa fedheha wakati akiwa hapo Rocky City Mall ndani ya gari lake binafsi alikuwa nafanya nini naye ndani ya hilo gari?
 
(d) Yaani Nawanda amfire Tumsime ndani ya gari kwenye public parking ya Rock City na gari isiyumbe? HAIWEZEKANI
 

35% ? duh hiyo namba ni kubwa sana kwa kweli
 
Ni circumstantial evidence yaani umeenda klabu saa 8 usiku unakaa na kibinti kwenye gari alafu ukiambiwa umelawiti unakataa sasa ukiulizwa saa 8 ulikua unafanya nini klabu ya usiku unajibuje? Acheni kutetea ujinga, kiongozi unapaswa kuwa na maadili

nayey huyo binti alikuwa anafanya nini saa 8 usiku mwanmme kwenye gari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…