Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Kama Nawanda hakuvaa kondomu, binti anaweza kuchukua shahawa ukeni akaziingiza makalioni mwake, akatengeneza na viuchafu kidogo
 
Hayo ndio madhara ya kuruka na vibinti vya chuo.

Ange asses risk kabla ya kujihusisha nao.

Hao ni kukaa nao mbali,
 
Binti muongo
Nyuma na haijawahi Fanya angetokwa na damu na asingetembea.

Ni zengwe tuuuuu limetumika Dr kategwa kajaaa.

Binti hakuenda nyumbani moja kwa moja alifirwa njiani na watesi kukamilisha ushahidi
 
Hoja zako ni nyepesi sana
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
 
Yupo waziri mmoja mhaya Sasa marehemu. Alikua na sharubu. Tulikua tunakunywa naye Kinondoni bar moja maarufu ilikua na Malaya wengi nyuma ya soko la tx (shentembaa )Tena alikua anakaa stuli ndefu.
Just imagine a cabinet minister.
Ni binadamu nao.
 
Kama mission imeshakuwa complete basi hakuna kesi tena hapo itakuwa blaa blaa tu then mambo mengine yanaendelea kama kawaida.
 
Binti kasema kaingiliwa kinyume na maumbile, time line haileti maana kabisa dakika 18, kwanza kungekuwa na ugomvi, na labda hata vioo vya gari hili vingevunjika, kuingiliwa kinyumbe na maumbile ni kubakwa, hakuridhia. Hata uchukie vipi bado haileti maana, huyo alipangwa aseme alichosema, kama aliingiliwa kinyume na maumbile kabla ya hiyo siku nakubali, lakini siyo ndani ya dakika 18.
Hebu jibu swali hili...
1. Je, mtuhumiwa alikutana na mlalamikaji tarehe na saa tajwa huko jijini Mwanza, mahali tajwa (Rock City Mall-Ilemela), wakaingia kwenye gari ya mtuhumiwa na kubaki humo wakiwa wawili kwa muda?
2. Je, mtuhumiwa kwa jina na nafasi yake katika tarehe tajwa alisafiri kwenda Mwanza kutoka Bariadi Simiyu?
3. Je, anamtambua mlalamikaji kwamba ni mpenzi wake na kwamba walishawahi kutofautiana namna ya kuendesha mahusiano yao?
4. Je, Mtuhumiwa alipofika jijini Mwanza alielekea katika hotel iliyokaribu na Rocky City Mall na kumpigia simu mlalamikaji?
5. Je, ni kweli mlalamikaji ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT kilichoko huko Malimbe-Nyegezi?
6. Je, kama mtuhumiwa anathibisha alisafiri kutoka Bariadi-Simiyu hadi jijini Mwanza, alipokutana na msichana ambaye ni mlalamikaji kwa kudhalilishwa kingono kwa fedheha wakati akiwa hapo Rocky City Mall ndani ya gari lake binafsi alikuwa nafanya nini naye ndani ya hilo gari?
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
(d) Yaani Nawanda amfire Tumsime ndani ya gari kwenye public parking ya Rock City na gari isiyumbe? HAIWEZEKANI
 
Hivi kwanini CCM mnapenda kutetea ufedhuli, kama kumuundia zengwe si wangempa kesi ya rushwa au ubakaji wa mtoto mchanga why watumie mtu mzima kwa issue ya ulawiti tena waliopo kwenye mahusiano?

Kitendo tu cha kuwa na mahusiano nje ya ndoa ni aibu kwa kiongozi wa umma. Pia utafiti wa MEWATA unaonyesha walau 35% ya wanawake wameshaingiliwa kinyume hapa Tanzania tena utafiti ni wa 2016 unadhani kwa sasa asilimia ni ngapi? Unadhani huo utafiti hakuna kesi kama za Nawanda?

Tusipende kutetea ufedhuli, ulawiti ni kosa kisheria whether umetegeshewa au mlikubaliana. Hata asingembaka kitendo tu cha ulawiti kwa makubaliano ni kifungo cha miaka sio chini ya 5 sasa tunatetea nini?

35% ? duh hiyo namba ni kubwa sana kwa kweli
 
Ni circumstantial evidence yaani umeenda klabu saa 8 usiku unakaa na kibinti kwenye gari alafu ukiambiwa umelawiti unakataa sasa ukiulizwa saa 8 ulikua unafanya nini klabu ya usiku unajibuje? Acheni kutetea ujinga, kiongozi unapaswa kuwa na maadili

nayey huyo binti alikuwa anafanya nini saa 8 usiku mwanmme kwenye gari?
 
Back
Top Bottom