Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
kwamba kumuingilia mtu kinyume cha maumbile yake ni zengwe? kama ni zengwe kwanini walitoa pesa? kwann mtanda ashiriki kuandika barua na kumsainisha binti? wewe una tofauti gani na wanaoamini kwamba SABAYA NAYE ALITENGENEZEWA ZENGWE>
 
nayey huyo binti alikuwa anafanya nini saa 8 usiku mwanmme kwenye gari?
Alienda kufanya mapenzi kulingana na maumbile. Hilo sio kosa kisheria kwa wote wawili.
Kosa linakuja pale mwanaume anapomfanyia mwanamke mapenzi kinyume na maumbile.
Wanaume kuweni makini na sheria za mahusiano, zinawabeba sana wanawake.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Hoja yako inafutwa na na swali moja tu 1. Ni wabaya wa RC walimlazimisha kuwa ni lazima amlawiti huyo binti? Mtu utaundiwaje zengwe kwa kitu ambacho umekitenda kwa dhamira yako mwenyewe?
1. Hakwenda polisi kwa sababu alifadhaika na mind yake haikuwa inakubaliana na state nzuri.
2. Hakupiga kelele kwa sababu alichanganyikiwa. Hujaona watu wakipata msiba au wakikumbana na jambo baya wanakuwa kama wamechanganyikiwa na hata kulia au kupiga kelele hawawezi?
3. Rudi kasikilize tena yale mahojiano.
 
kwamba kumuingilia mtu kinyume cha maumbile yake ni zengwe? kama ni zengwe kwanini walitoa pesa? kwann mtanda ashiriki kuandika barua na kumsainisha binti? wewe una tofauti gani na wanaoamini kwamba SABAYA NAYE ALITENGENEZEWA ZENGWE>
Achana na hawa watu wenye logic za ki-nyani kabisa. Mtu unatenda kosa mwenyewe halafu unasema eti umeundiwa zengwe. Yaani unakwenda kuiba na ukishikwa unasema umeundiwa zengwe?
 
Hoja yako inafutwa na na swali moja tu 1. Ni wabaya wa RC walimlazimisha kuwa ni lazima amlawiti huyo binti? Mtu utaundiwaje zengwe kwa kitu ambacho umekitenda kwa dhamira yako mwenyewe?
1. Hakwenda polisi kwa sababu alifadhaika na mind yake haikuwa inakubaliana na state nzuri.
2. Hakupiga kelele kwa sababu alichanganyikiwa. Hujaona watu wakipata msiba au wakikumbana na jambo baya wanakuwa kama wamechanganyikiwa na hata kulia au kupiga kelele hawawezi?
3. Rudi kasikilize tena yale mahojiano.
Hiyo TAMTHILIYA tu na Mahakamani ndiyo mwisho wake. Kama hajatunza shahawa za RC Nawanda AMEKWISHA
 
I afraid kusema kuwa nilikuwa najibu hoja nyingine kabisa na siyo mambo ya uimara wa ushahidi. BTW hii kesi haitaenda popote kwa sababu ''wenyewe'' hawataki.
Hizi fitina za kikazi tu. Sisi tuliofanya kazi Serikalini na yakatukuta tunakuwa. Kama hayajakukuta huwezi amini kuwa huyu bwana Nawanda walimseti.

Siamini kama RC anaweza kutombea kwenye gari leave alone KUFIRA. Hivi huo mkao wenyewe sijui anabinukia wapi? Huku gari iko kwenye parking.
 
La haula. Walimset, uume ukasimama, ukaingia sehemu ya haja kubwa ya wmanamke, alipoona mambo yamekuwa mabaya akamlipa fedha ili kuua soo, akaita na RC mwenzake ili abembeleze, na rais pamoja akapewa habari za uongo na kumtumbua! Kajipange tena maana badala ya kumtetea unazidi kumdidimiza. Eti RC hawezi kufanya mapenzi kwenye gari!
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Ametengenezewa, hakutebgenezeea, the mistake is his, kwa nini ajihusishe na vitoto mitaani? Okey ameamua kujihusisha, kwa nn atake na kula ndogo! The damage is irreparably hata akiachuwa huru na mahakama.
 
Hii nafasi angekuwa aliipata kwa haki bila uchawa, uchawi, ushirikina, ruhswa na kujuana tungemhurumia maana hizi nafasi hata sisi tunazitaka lakini hatuna namna ya kuzipata, acha akione cha moto.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Kwa hiyo wewe unashabikia dada zetu kuliwa vinyeo? Sijawahi kuona hata siku moja umekuja na bandiko la maana hata siku moja
 
Huwa mnapata wapi nguvu ya kutetea mtu tena kiongozi wa umma aliyejiweka katika mazingira ya hatari “kutengenezewa zengwe” kama unavyodai?

Nenda kamtengenezee zengwe former mkuu wa mkoa wa Dodoma yule mzee mwenye mke mzungu uone kama utampata na hatia ya namna hiyo…..

Unajua what it takes kumtengenezea zengwe mtu mwenye power na ni msafi….

Acha kujizima data.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Binti mwenyewe ni miaka 21.
Hakuvuliwa alivua mwenyewe na kwa tamaa ya pesa. Hii mchezo ni ya kawada kwa wanawake wengi siku hizi! Kama.pia alivyosema kiongozi mmoja wa juu kabisa
Eti kutekwa ni jambo la kawaida.
Huyu mdada akifanyiwa uchunguzi utakuta alikuwa ni mpenzi Sema Kuna jambo hapo haliko sawa!
 
Katika hali ya kawaida unalazimishaje kumlawiti mwanamke?, au ndo mambo ya ndumba haya maana kuna comment nilisoma mahali humu inasemekana jamaa mama yake ni mganga wa kienyeji.

Vipi mkuu wa mkoa wa Mwanza bado yupo ofisini pamoja na kutajwa kuhusika kutaka kuzima hii kesi? au yeye ni malaika.

Kama aliyekuwa waziri mkuu hayati Lowasa alijiuzulu kwenye sakata la richmond na kuonekana kama ni ajali ya kisiasa, mkuu wa mkoa wa Mwanza yeye ni nani kutaka achunguzwe akiwa ofisini? kama ni hivyo kulikuwa hakuna haja ya kumwondoa Nawanda, na yeye kesi yake ingeendeshwa akiwa madarakani.

Wasione watanzania ni wajinga kukaa kimya wakidhani hawajui kinachotakiwa kufanyika, wengi wanakuwa na hofu na mambo ya kutekwa na kupelekwa kusikojulikana......Je, hii ndo njia sahihi ya uongozi ya kuwafanya watu wawe na hofu kuhoji mambo ya msingi kwa mstakabali wa nchi yao?​
 
Mahakama ndiyo ya kuthibitisha kama amefukua huo mtaro au huyo binti anampaka shombo tu.
Wewe mahakama za Tz unaziamini?

Haki ngapi zimepindishwa kwa rushwa na upendeleo wa wazi?

Kwa hiyo wenye nguvu ya pesa, wannapoizipofusha mahakama zikatoa hukumu za hila ndiyo wenye haki?
Maana ushindi wao huupatia mahakamani.
 
La haula. Walimset, uume ukasimama, ukaingia sehemu ya haja kubwa ya wmanamke, alipoona mambo yamekuwa mabaya akamlipa fedha ili kuua soo, akaita na RC mwenzake ili abembeleze, na rais pamoja akapewa habari za uongo na kumtumbua! Kajipange tena maana badala ya kumtetea unazidi kumdidimiza. Eti RC hawezi kufanya mapenzi kwenye gari!
Hawezi bana. Sema huna uzoefu na fitina za Kiserikali
 
Back
Top Bottom