Ukifungwa halafu ukabainika huna hatia je. Unalipwa fidia

Ukifungwa halafu ukabainika huna hatia je. Unalipwa fidia

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
456
Reaction score
1,003
Salami wakuu, Kuna swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu

Hivi ikitokea ukapelekwa gerezani kwa tuhuma labda hata ya wizi au ubakaji then baada ya kukaa gerezani Kama mwaka ikaja kubainika kuwa wewe sio mhusika kwa maana nyingine ulibambikiwa kesi

Je. Kuna fidia yoyote unayopewa ukizingatia umeonewa.

Au ndo wanakuacha ukapambane na hali yako. licha ya kukushikilia kwa muda wote huo na kukufanyisha makazi magumu pamoja na kukupelekesha

Karibuni mtujuze
 
Unafungua kesi ya madai lakini itakuchukua muda mrefu na kukupotezea rasilimali zako zingine nyingi na hata hivyo huenda usifanikiwe.

Kulipa wanasheria ni hela nyingi
 
Back
Top Bottom