Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Unataka kusemaje mkuu kwamba wanakuacha hivyo hivyoSheria kipofu
Kama ndo hivyo bas Kuna kitu hakipo sawaNchi nyingi za ulaya wanalipa fidia kwa kuhofia kuchafua mahakama na vyombo vya ulinzi na usalama. Huku Kwetu Africa ni vice-versa
Huku Kwetu mambo hayapo sawa tangia enzi na enziKama ndo hivyo bas Kuna kitu hakipo sawa
Unaidai mahakama ama waliokushitakiUnaweza kufungua kesi ya kudai fidia...
Vp kuhusu muda uliopotezewa kumbuka wakat unapelekwa gerezani Kuna watu walikuwa wanakutegemea na waliathirika kwa namna moja ama nyingineUnapigwa virungu kidogo kisha unatoka kwa ahadi ya kwamba utasaidia upelelezi wakati wowote ukihitajika
Unaweza kufungua kesi ya kudai ffiun
Unaweza kusikilizwa na kupata haki yako?Unaidai mahakama ama waliokushitaki
Hapo itategemea na akili yako pamoja na moyo....kama aliyekutia humo ni mkubwa, ukileta kiherehere anakurudisha mazimaVp kuhusu muda uliopotezewa kumbuka wakat unapelekwa gerezani Kuna watu walikuwa wanakutegemea na waliathirika kwa namna moja ama nyingine