Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute


Kama hujaolewa nijuze Nina wadogo zangu watakufaa. Utachagua
 
Watoa ushauri wa Ndoa wamekuwa wengi hadi wanatuchanganya
 
kweli ni USE*GE kumfuata mke kwao, kwanza huo mwezi mzima aliokaa kwao atakua AMESHALIWA haswa na wahuni wa huko.
 
Safi sana RHM. Mwanamke anae kimbilia kwao akiwa na hasira tele dhidi ya mme wake hua inakua rahisi sana kumrubuni kimapenzi ukizingatia kwamba waliomtoa bikira wapo huko aliko kimbilia. Akikaa mwezi mzima huko anarudi amezagamliwa vilivyo. Asante taikon kwa ushauri.
 
Labda ukiwa na pesa vinginevyo utamfata uanaume sio mabavu inawezekana wewe ndo una makosa halafu mke ndo Kila kitu ushupaze shingo achukuliwe ndo utajua hujui....
 
Labda ukiwa na pesa vinginevyo utamfata uanaume sio mabavu inawezekana wewe ndo una makosa halafu mke ndo Kila kitu ushupaze shingo achukuliwe ndo utajua hujui....

Sasa kwani akichukuliwa inakuhusu nini?
Nawe si unachukua Mwingine Maisha yanaendelea
Kwani lazima úwe na huyohuyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…