Ukigombewa ka' Mpira wa Kona utafanyaje?

Ukigombewa ka' Mpira wa Kona utafanyaje?

Ulikuwa na pesa za kuwalipa wote?

sijui wanacharge sh ngapi na kwa kipigo gani. ningejua billing ikoje ningelinganisha na hela niliyokuwa nayo, ila i was liquid enough kwa ujumla
 
Huyu mrembo nimemwambia acheki PM ila naona kagoma kabisa, labda wewe da Asha unisaidie.


Kumbe umeona hilo mda.. heri yako... labda PM ulimkaripia... i genuinely thot ni mkaka but ni vizuri nimejua.
 
Kaka uyo uyo ila ni siri nimekuibia kidogo mwenyewe kasema mda wa utambulisho bado.


Am so proud... jamani alishawahi vunjwa moyo yule... pleease do not do that to him again...lol
 
Back
Top Bottom