Ukigundua kuwa mke au mpenzi uliyenae uliwahi kutoka na binti yake utafanyaje?

Kuna makosa na makovu kwenye maisha hatuwezi kurekebisha ila ni kuishi nayo
Binafsi nitaendelea na huyo mama huko nikiweka ka distance reasonable na huyu binti
Minyege itaamka hutoamini kuna siku tu utakula kuku na mayai yake chini ya paa moja na ni suala la muda tu mchezo utakunogea.
 
Mtihani mkubwa sana huo maana ni kama uko na wake zako ndani ya paa Moja
Hapa itategemea we na Binti mliachana vipi ila kumla tena nadhani itakuwa asilimia 99%
 
  • Thanks
Reactions: Tsh

Kabisa mkuu. Hata kama mligombana kitendo cha kuwa na mama yake na asizuie wala kuropoka kwa mama yake basi ujue kama upo nae hapo ni suala la muda tu atakuachia yote.
 
Scenario kama hiyo ni Bora TU isitokee maana ikitokea hakuna kuchomoka
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom