Ukigundua mumeo nae ana "mume" utafanyaje?!

Annina

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Posts
437
Reaction score
59
Dunia hii ina mambo mengi ya kustaajabisha, moja wapo ni hili la jidume kuoa huku na lenyewe limeolewa! yaani kuna mwanaume mwenzie anamkula na kumhudumia kama yeye anavyofanya kwa mke wake. Nasikia case hizi zipo nyingi, sasa najiuliza huyu mdada akigundua mumewe ni chakla ya jibaba fulani atafanyaje?
 
Tafute na yeye wakina ""mac d"""
 
Hapo huna cha kufanya zaidi ya kwenda bagamoyo
ukaoshwe,,,,maana huo ni mkosi.
 
nimecheka mpaka basi, yaani kweli ni mikosi kama ni kuoshwa iwe kwa maziwa sio maji vinginevyo Kakobe achukue nafasi yake apige maombi ya nguvu...
 
nimecheka mpaka basi, yaani kweli ni mikosi kama ni kuoshwa iwe kwa maziwa sio maji vinginevyo kakobe achukue nafasi yake apige maombi ya nguvu...

jambo kama hilo ni mkosi kabisa..
Ni sawa pia na kugundua mkeo anatembea na baba yake.
Ni mkosi mtupu...
 
Kila mwenye kulamba sharti alambwe kaka hiyo principle tangu uongozi wa karume ati...
 
Dunia hii ina mambo mengi ya kustaajabisha, moja wapo ni hili la jidume kuoa huku na lenyewe limeolewa! yaani kuna mwanaume mwenzie anamkula na kumhudumia kama yeye anavyofanya kwa mke wake. Nasikia case hizi zipo nyingi, sasa najiuliza huyu mdada akigundua mumewe ni chakla ya jibaba fulani atafanyaje?

Ukigundua hivyo inabidi nawe uwe msagiji au usagwe ili iwe ngoma draw. Pia unaweza kumshtaki huyo anaye mkula mme wako kwa wazee wa ukoo teh teh..
 
Dunia hii ina mambo mengi ya kustaajabisha, moja wapo ni hili la jidume kuoa huku na lenyewe limeolewa! yaani kuna mwanaume mwenzie anamkula na kumhudumia kama yeye anavyofanya kwa mke wake. Nasikia case hizi zipo nyingi, sasa najiuliza huyu mdada akigundua mumewe ni chakla ya jibaba fulani atafanyaje?
piga chini tu!
 
Hakuna maelezo hapo, ni kumwaga tu. ataonyeshaje uanaume wake kwangu na wakati na yeye ni jike la mtu lol, i dont even wanna think abt this, it sucks!
 
hahahaha inachekesha na kusikitisha maamuzi yangu nitayachukua pale tu nitakapogundua lakini kwa sasa sina la kuongea duh kasheshe
 
Back
Top Bottom