Mbona wachawi wanavitumia hivyo vitu1. Chumvi ya mawe
2. Mdalasini
3. Majani ya mdalasini
4. Karafuu
5. Ndimu
6. Kitunguu mwaumu
7. Kitunguu maji
Ni miongoni mwa dawa dhidi ya laana, wachawi na kusafisha nyota.
Wanavitumiaje?Mbona wachawi wanavitumia hivyo vitu
Kwenye mahitaji Yao ya kila sikuWanavitumiaje?
Hao uliowataja ndio wanarogwaKama unahisi una dalili za kulogwa kutoka na mikosi balaa nuksi nk basi nakushauri nenda kwenye mikono ya Mungu.
Kasali Msikitini wakuombee ama wenzetu mnaweza kupitia kwa Kuhani Musa
Mwamposa
Yuko kiboko wa wachawi Buza
Na wengineo
Usikimbilie kwa waganga shetani hamtoi shetan mwenzie atatmtuliza tu
Hawa watu sio poa mjue Mungu pekee ndie mmaliza shida za wanadamKama hujawahi kulogwa huwezi elewa anchosema mtoa mada...
Yupo sahihi...
Mchawi na Mganga ni marafiki...
Wewe ni mchawi ?Mbona wachawi wanavitumia hivyo vitu
Hivyo vitu si vinatumika majumbani auWewe ni mchawi ?
Unavitumiaje sasa? Nielekeze ili nisiendelee kutapeliwa na Manabii wa mchongo plus waganga.1. Chumvi ya mawe
2. Mdalasini
3. Majani ya mdalasini
4. Karafuu
5. Ndimu
6. Kitunguu mwaumu
7. Kitunguu maji
Ni miongoni mwa dawa dhidi ya laana, wachawi na kusafisha nyota.
Unavichanganya vyote hivyo kwa pamoja? Huo udongo ni udongo wowote ule au lazima utoke mahala fulani?Wekakwenyemaji...na udongooo kunywa nusultr kilasiku sikusaba kuogea changajya kwandoo ogea sehuleni sioochooon
Asante Mkuu. Nadhani safari za kunikamua fedha zitaisha.Unapoishi .....unanuia kwa Mungu usipate mikosi balaa nk...
Kamaa ukipatahela unatimia ovyo chukka kibbutz weka mkaaa mdogo.dogo na chumvi ya Mawes.. ukizipata weka humokwamda ziombee Allah anilindeeee keshoyake anzakutumia....usisahausadaka kwa Appostle PdidyAsante Mkuu. Nadhani safari za kunikamua fedha zitaisha.
Sadaka yaja Apostle, Wala usijali. 😂Kamaa ukipatahela unatimia ovyo chukka kibbutz weka mkaaa mdogo.dogo na chumvi ya Mawes.. ukizipata weka humokwamda ziombee Allah anilindeeee keshoyake anzakutumia....usisahausadaka kwa Appostle Pdidy
Mungu pia huwatumia watu wake kuwasaidia na watu ndio hao...Hawa watu sio poa mjue Mungu pekee ndie mmaliza shida za wanadam