mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Ashakum si matusi,nawaheshimu wazee wangu ila tukubali wale wahuni na mabaharia wa miaja ya 90 ndio wazee wa sasa.
Kama hujui miaka ya 90 kulikuwa na wimbi la vijana kuzamia nchi za nje kupitia neli,tukiwaita mabaharia,achana na wahuni wa mitaa ya magomeni,manzese,tandale na temeke,wahuni hao sasa wamezeeka,wamekuwa wazee wa ovyo.
Nimehudhuria harusi nyingi hivi karibuni wazee wanacheza miziki kwa style za kihuni mpaka vijana wanaona aibu,wazee wansoozesha binti zao wanatoa nasaha za kihuni sana unajiuluza huyu ni mzazi gani huyu,
Wazee mnisamehe ila hamujaacha uhuni wenu,
Ukiwa na changamoto ya mahusiano ni bora utafute ushauri kwa kijana mwenzio sio hawa wazee wa siku hizi utalia