B BITEMO Member Joined May 30, 2015 Posts 73 Reaction score 3 Jun 2, 2015 #1 kifungu namba ngap kinakuhumu??
Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member Joined Feb 7, 2012 Posts 4,641 Reaction score 3,680 Jun 2, 2015 #2 kwa hiyo wewe ulitaka kuwe na kifungu cha kuiba kuku???ungeuliza ukiiba unahukumiwa kwa kifungu gani
stwita JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,340 Reaction score 760 Jun 2, 2015 #3 Umekwiba kuku wa nani tena?
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,894 Jun 2, 2015 #4 BITEMO said: kifungu namba ngap kinakuhumu?? Click to expand... Unashtakiwa kwa kuiba kuku?funguka mkuu usaidiwe. swissme
BITEMO said: kifungu namba ngap kinakuhumu?? Click to expand... Unashtakiwa kwa kuiba kuku?funguka mkuu usaidiwe. swissme
M mkkta Member Joined Apr 15, 2015 Posts 31 Reaction score 2 Jun 29, 2015 #5 Wizi ni wizi tu 265 kanuni ya adhabu. Ukiiba mifugo unaongezewa na 268
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Jun 29, 2015 #6 Inategemea umeiba kuku wa aina gani....kama umeiba kuku wa dawa jiandae kulea busha kama mtungi...kama umeiba kuku wa kawaida wa kawaida utachomwa moto... STREETS LAW....
Inategemea umeiba kuku wa aina gani....kama umeiba kuku wa dawa jiandae kulea busha kama mtungi...kama umeiba kuku wa kawaida wa kawaida utachomwa moto... STREETS LAW....