Ukiiba kuku

Ukiiba kuku

kwa hiyo wewe ulitaka kuwe na kifungu cha kuiba kuku???ungeuliza ukiiba unahukumiwa kwa kifungu gani
 
Wizi ni wizi tu 265 kanuni ya adhabu. Ukiiba mifugo unaongezewa na 268
 
Inategemea umeiba kuku wa aina gani....kama umeiba kuku wa dawa jiandae kulea busha kama mtungi...kama umeiba kuku wa kawaida wa kawaida utachomwa moto...
STREETS LAW....
 
Back
Top Bottom